HabariPilipili FmPilipili FM News

Madereva Wa Tuk Tuk Mombasa Kufanyiwa Uchunguzi Wa Macho.

Chama cha  muungano wa wahudumu wa tuk tuk kaunti ya Mombasa kinasema kuna haja kubwa ya madereva wake kupata uchunguzi wa macho hiyo ikiwa njia moja ya kukabiliana na ajali msimu huu wa likizo.

Anwar Said Bujra aliye mwenyekiti wa chama hicho amehoji kwamba kumekuwa kukitoakea ajali nyingi, baadhi zikisababishwa na madereva wenye matatizo ya macho.

Show More

Related Articles