Swahili Videos

RASILIMALI ZA BAHARINI : Rais Kenyatta alifungua rasmi Kongamano la kimataifa

Huku kongamano la kimataifa kuhusu uchumi wa raslimali za maji likiingia siku yake ya pili hii leo, kuna wengi ambao labda hawajafahamu fika maana ya kongamano hilo.
Ili kuelezea hilo kwa undani, Dan Kaburu anaangazia ufugaji wa samaki aina ya Kaa au (Crab) kwa kiingereza unaofanywa na mkenya mmoja wa asili ya uingereza katika kaunti ya Kilifi.

Show More

Related Articles