HabariMilele FmSwahili

Majengo 9 duni mtaani Huruma kubomolewa

Majengo 9 mtaani Huruma Nairobi yatabomolewa wakati wowote kutoka sasa. Wizara ya huduma za umma inasema majengo hayo ambayo baadhi yana wapangaji ni miongoni mwa yaliyojengwa bila kuzingatia sheria. Moses Nyakiongora ni afisa wa ubora wa majengo katika wizara ya huduma za umma.

Aidha serikali imesema haijasitisha ubomozi wa majengo yaliyojengwa kinyume na sheria bali ni ukaguzi zaidi unaoendelea ili kutoa nafasi kwa haki kutendeka hata ubomozi huo unapofanyika.

Show More

Related Articles