Swahili Videos

Mume amdunga kisu shemejiye kufuatia mzozo baina ya watoto wao

Mwanamke mmoja amesalia katika hali mahututi baada ya kudungwa kisu tumboni mara kadhaa na shemejiye kufuatia mzozo baina ya watoto wao katika kijiji cha Khayega, Shinyalu kaunti ya Kakamega.
Benard Mung’au jamaa aliyetekeleza unyama huo angali anasakwa baada kutoroka.

Show More

Related Articles