HabariMilele FmSwahili

Kongamano la kitaifa kuhusu uchumi wa baharini laanza rasmi Nairobi

Kongamano la kimataifa kuhusu uchumi wa baharini mengine kukuza uchumi limeanza rasmi katika jumba la kimataifa la KICC. Rais Uhuru Kenyatta aliyefungua rasmi kongamano hilo ameahidi kubuniwa sera, miakakti na sheria ambazo zitahakikisha Kenya inanufai na maji yake. Anasema kwa muda sekta ya bahari  imekuwa ikichanga asilimia 2.5 pekee ya mapato ya taifa ilhali uwezo wake umezidi asilimia 50

Mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni naye ahadi kwake kukusa uchumi wabahari anasema nchini Uganda sheria zinaubuniwa kudhibiri uvuvi ambao umetawaliwa na matapeli wanaonufaika kwa aislimia kubwa nchini Zanzibar, rais Ali Mohamed Shein anasema kwa ushirikiano na Tanzania watatumia maji yao kukuza hasaa utalii na uvuvi

Kakikisho la usalama nalo likitolewa na rais wa somalia  mohamed abdullahi mohamed kongamano hilo la siku 3 limewavutia zaidi ya wajumbe elfu 10, wakiongozwa na marais wa mataifa wenyeji wa kongamano hilo amao ni Kenya, Japan na Canada

Show More

Related Articles