K24 TvNEWSSwahiliVideos

Kliniki za Maries Stopes zasitisha huduma ya kuavya mimba

Hospitali ya Marie Stopes hii leo imestisha shughuli zote za kuavya mimba zinazotekelezwa katika kliniki zake kote nchini.

Kupitia taarifa kwenye vyombo vya habari, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo Dana Tilson, alisema watafuata amri ya bodi ya Muungano wa Madaktari Nchini KMPDB hadi majadiliano yao yatakapokamilika.

Show More

Related Articles