K24 TvNEWSSwahiliVideos

Majambazi waua mtu 1, Polisi waua majambazi 2 Likoni

Hofu na hali ya suitafahamu imegubika mtaa wa likoni, jijini Mombasa kufuatia kisa ambapo makundi mawili haramu yalivamia wakaazi maeneo ya Senti Kumi usiku wa kuamkia leo na kufyatuliana risasi na polisi.

Mtu mmoja ambaye ni raia wa Rwanda, aliuwawa kwa kukatwa katwa kwa panga huku majambazi wawili wanaoaminika kuhusika na kisa hicho kuawa kwa kupigwa risasi na polisi.

Show More

Related Articles