HabariK24 TvSwahiliVideos

Mtangazaji wa K24TV Ahmed Juma Bhalo aasi ukapera

Mtangazaji we runinga ya K24 Ahmed Juma Bhalo hatimaye jana aliuasi rasmi ukapera katika sherehe ya harusi iliyowaleta pamoja jamaa, marafiki, watu mashuhuri na wanahabari wenzake.

Mwanahabari huyo alifunga ndoa na muhibu wake Khadija Omar Abdallah katika msikiti wa Al-huda eneo la South B hapa Nairobi.

Show More

Related Articles