Swahili Videos

  POMBE YA MAUTI : Watu 2 wafariki, 1 apofuka na wengine waugua

Mtu mmoja ameaga dunia na mwingine kulazwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta akiwa katika  hali  mahututi baada ya kunywa pombe haramu katika mtaa wa Umoja hapa Nairobi
Vile vile kati ya watu wawili  walionusurika, mmoja kati yao kufikia sasa amepofuka huku washukiwa watatu ambao walikuwa wakitengeneza pombe hiyo wakizuiliwa katika kituo cha polisi cha Buruburu wakitarajiwa kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles