Swahili Videos

Washukiwa 4 wa wizi wa mifugo wauawa na umati, Kajiado

Washukiwa wanne wa wizi wa mifugo wameuawa kwa kuchomwa na wananchi wenye hamaki Kajiado.
Wanne hao walikamatwa na wenyeji wakiwa wamejificha eneo moja la msitu wa Athi River kwa madai ya kuhusika kwa wizi wa mifugo Kitengela.

Show More

Related Articles