HabariMilele FmSwahili

Ripoti :Ufisadi ndio kiini cha matatizo katika sekta ya uchukuzi na idara ya Trafiki nchini

Ufisadi ndio kiini cha matatizo yanayokumba sekta ya uchukuzi na idara ya Trafiki nchini. Ripoti ya hivi punde ya shirika la Transparency International inaonyesha licha ya juhudi za idara ya mahakama kuzuia ufisadi, asilimia 80 ya madereva wa masafa marefu, asilimia 86 ya madereva wa matatu na wanabodaboda na silimia 89 ya madereva wa texi wako radhi kuwahonga polisi badala ya kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles