HabariPilipili FmPilipili FM News

Ajali Za Barabarani Zatajwa Kuongezeka Kwale.

Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 1,859 wameangamia katika ajali za barabarani  mwaka huu pekee kaunti ya Kwale, idadi hiyo ikiongezeka kutoka ya mwaka jana ya watu 1,760.

Wasafiri wa miguu yaani pedestrians 709 wamepoteza maisha mwaka huu pekee .

Kufuatia hali hiyo Usimamizi  wa  kampuni  ya uchimbaji madini  ya basetitanium  kaunti ya  kwale  imeanzisha  kampeni  ya  kuwahamasisha  wahudumu wa bodaboda  eneo la  ukunda, kuhusu umuhimu wa  kuzingatia  kanuni za barabarani , hiyo ikiwa njia mojawapo  ya  kukabiliana  na ajali  za pikipiki  katika   barabara kuu ya likoni -lungalunga .

Show More

Related Articles