Swahili Videos

Watu 4 wauguza majeraha, raia wa Italia atekwa nyara, Malindi

Operesheni ya kumsaka mwanadada raia wa Italia ambaye amekuwa mfanyikazi wa shirika moja lisilo la kiserikali , Silvia Romano aliyetekwa nyara hapo jana jioni na watu wanaoaminika kuwa wanamgambo wa alshabab ingali inaendelea.
Kufuatia shambulizi hilo, watu wengine watano wanauguza majeraha hospitalini.
Ni shambulizi linalodaiwa kupangwa kwa muda kwani wavamizi wanadaiwa kuishi na wenyeji kwa muda karibu na makazi ya mateka huyo.

Show More

Related Articles