Swahili Videos

Upi mustakabali na hatima ya walioanguka mtihani wa KCPE

Wahenga walisema kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa mapishi msemo unaowapa moyo wanafunzi ambao hawakufanya vema katika mtihani wa kcpe ambao matokeo yalitolewa Jumatatu.
Mwanahabari wetu Lenox Sengre ametangamana na mwanafunzi Austine Okoth kutoka shule ya msingi ya Jehovah Jireh  aliyezoa alama 93 kati ya alama 500 ,lakini ameendelea kudhihirisha matumaini ya kujiunga na shule ya upili na hata kuwa mwalimu siku za usoni.

Show More

Related Articles