HabariPilipili FmPilipili FM News

Wahudumu Wadi Kudhulumiwa Na Maafisa Wa Polisi.

Sasa wahudumu wa vyama vya matatu wanalaumu serikali kwa kile wanasema kuwanyanyasa na  kuwaharibia biashara yao. Aidha wahudumu hao wamelaumu muungano wa vyama matatu kwa kushirikiana na serikali ili kuwakandamiza.

Wamekariri kuwa wengi wao wameafika  sheria mpya wakilaumu polisi kwa kubuni orodha ya sheria zao kinyume na zile zilizotolewa na waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiang’I. Viongozi hao wanawashtumu polisi kwa  kutumia utekelezwaji wa sheria mpya za trafiki matatu kama kitega uchumi huku  wakiwashika madereva na wasaidizi wao bila sababu maalum

Show More

Related Articles