Swahili Videos

Mgaagaa na upwa : Wazee wa jamii ya Makonde wanashiriki uchongaji vinyago

Wiki hii kwenye makala  ya Mgaaa na Upwa tunaangazia kikundi cha wazee kutoka kwenye jamii ya Makonde kutoka kaunti ya Kwale.
Jamii hii ilipata uraia mwaka jana na kutambulika kama kabila la 43 nchini.
Baadhi ya wazee katika jamii hii wamejitosa kwenye kazi ya kuchonga vinyago kama njia ya kutafuta riziki.

Mwanahabari wetu Kimani Githuku na maelezo zaidi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa.

Show More

Related Articles