Swahili Videos

Baadhi ya watahiniwa waandikisha matokeo bora licha ya changamoto

Punde tu matokeo ya mtihani wa KCPE yalipotangazwa rasmi kwa zaidi ya wanafunzi milioni moja.
Wengi waliotia fora walijitokeza na kusherehekea.
Hata hivyo, kuna idadi kubwa pia ya wanafunzi waliopata alama za juu licha ya kupitia hali ngumu kwenye masomo yao.
Wengine wao ni maskini kupindukia, wakisomea kwenye shule za vitongoji duni huku wengine wao wakipoteza wazazi wao wakati wa kufanya mtihani.
Lenox Sengre na mkusanyiko wa sherehe na pandashuka za wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali kote nchini.

Show More

Related Articles