HabariMilele FmSwahili

Rais azindua rasmi huduma za ulinzi baharini

Rais Uhuru Kenyatta amezindua rasmi kikosi cha huduma za ulinzi Baharini mjini Mombasa. Rais pia amezindua meli itakayotumika kutoa ulinzi  huo kwa jina doria. Hafla hiyo iliyoandaliwa katika eneo la Liwatoni imehudhuriwa pia na naibu rais William Ruto, gavana wa Mombasa Hassan Joho na waziri wa usalama wa kitaifa dkt Fred Matiangi.

Show More

Related Articles