English VideosK24 TvNEWSVideos

10:30 ANA KWA ANA NA KHALWALE: Dkt Bonny Khalwale asema yuko radhi kushirikina na Naibu wa Rais Ruto

Wengi wanamtambua kama mwanasiasa shupavu japo kwenye kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Kakamega mwaka jana alirambishwa sakafu.

Kwa sasa anasema kuwa yumo mbioni kufanya kazi kwa karibu na Naibu wa Rais, William Ruto huku akitarajia kugombea ugavana tena mwaka 2022.

Show More

Related Articles