English VideosK24 TvNEWSVideos

MATOKEO YA KCPE:Rais adokeza huenda matokeo yakatolewa hapo kesho

Huenda matokeo ya mwaka huu ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) yakatolewa wakati wowote kuanzia hapo kesho.

Rais Kenyatta kwa mara nyingine tena amewahakikishia watahiniwa wa mtihani huo kwamba wote watapata nafasi katika shule za upili.

Show More

Related Articles