English VideosK24 TvNEWSVideos

USALAMA BARABARANI: Siku ya waathiriwa wa ajali duniani yaadhimishwa Sachangwan

Sherehe ya Kuadhimisha Siku ya Waathiriwa wa Ajali Duniani, imewaleta pamoja washikadau mbali mbali katika sekta ya Uchukuzi wakati ambapo serikali inajizatiti kuleta nidhamu barabarani kote nchini.

Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani(NTSA) imeandaa sherehe hiyo katika barabara kuu ya Eldoret-Nakuru, eneo la Sachangwan kaunti ya Nakuru.

Show More

Related Articles