English VideosK24 TvNEWSVideos

MPAMBE WA RUTO: Pandashuka za Farouk Kibet, msaidizi wa naibu wa Rais

Anatambulika sana kama mpambe wa Naibu wa Rais William Ruto, ila majukumu yake hayaonekani sana hadharani.

Japo Farouk Kibet husalia kuwa mchache wa maneno, ameweza kujipendekeza kwa wengi, vile vile kuwakasirisha baadhi ambao wamekiri kunyimwa nafasi ya kukutana na Naibu wa Rais.

Kiongozi wa walio wengi bungeni Aden Duale akielezea hayo kwenye mazishi ya bababake Farouk.

Je, Farouk Kibet ni nani?

Show More

Related Articles