HabariMilele FmSwahili

Kalonzo amtembelea rais mstaafu Moi nyumbani kwake Kabarak

Kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka leo amekutana na rais mstaafu Moi katika makaazi yake eneo la Kabarak kaunti ya Nakuru. Kando na kuangazia hali ya afya ya mzee mkaoo huo umeangazia pia saisa za taifa wakati huu. Kalonzo kadhalika anaarifiwa kumjuza mstaafu Moi kuhusu jukumu lake jipya la kuangazia amani katika taifa la Sudan Kusini.

Show More

Related Articles