HabariMilele FmSwahili

Kampeni ya kukabili mimba za mapema yazindulia Kwale

Naibu gavana wa Kwale Fatuma Achani ameazindua  rasmi  kampeni  ya  kupambana na mimba za mapema miongoni mwa wasichana wa umri mdogo kaunti hiyo.  Akizungumza katika eneo la  Kinango achani amesema kuwa kina mama wamepata hamaisho ya kutoa mafunzo kwa jamii vijijini kuwalinda wasichana dhidi ya mienendo inayowaweka katika hatari ya kupachikwa mimba. Achani ameelezea kusikitishwa kwake na kudorora kwa viwango vya elimu  katika kaunti hio kutokana na mimba za mapema.

Show More

Related Articles