HabariPilipili FmPilipili FM News

Obado Aachiliwa Kwa Dhamana.

Gavana wa migori Okoth Obado hatimaye ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano na mdhamini wa kiasi sawa na hicho, ama pesa taslim shilingi laki mbili.

Obado alikamatwa tena siku ya jumatano jioni na kuwasilishwa kotini alhamisi hapo jana kwa makosa ya kumiliki bunduki 8 kinyume cha sheria.

Upande wa mashtaka ulikuwa umeomba Obado azuiliwe kwa siku 15 zaidi ili kuwapa nafasi maafisa wa polisi kukamilisha uchunguzi dhidi yake.

Show More

Related Articles