HabariMilele FmSwahili

Ofisa wa polisi amuua mpenzi wake kwa kumpiga risasi kaunti ya Narok

Ofisa wa polisi amemuwa kwa kumpiga risasi mpenzi wake katika eneo la Kilgoris kaunti ya Narok. Aidha afisa huyo ameripotiwa kujaribu kujitoa uhai kwa kujidunga kisu mara kadhaa. OCPD wa Trans-Mara Magharibi David Wambua amedhibitisha tukio hilo. Afisa huyo kwa sasa anauguza majeraha katika hospitali ya Kisii level 5 akiwa katika hali mahututi.

Show More

Related Articles