HabariMilele FmSwahili

Madereva 30 wakamtwa mjini Nairobi kwa kukiuka sheria za Michuki

Wahudumu 30  wa magari ya uchukuzi wengi wao madereva wamekamatwa kufuatia msako ulioendesha na maafisa wa trafiki katika eneo la Ngara hapa jijini Nairobi. Msako huo ulioongozwa na OCPD wa kituo cha Central Simon Kirich pia haukuwanasa madereva wa magari ya kibinafsi. Waliokamatwa wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Central wakisuburi kushtakiwa mahakamani kwa kosa la kukiuka sheria za trafiki maarufu za michuki.

Show More

Related Articles