Swahili Videos

Sauti Tajika : Mbwembwe na mahanjam ya Mwanasarakasi Jasper Murume

Anajulikana na wengi kama Kasmane au Jasper Murume.
Ni mchekeshaji wa humu nchini, akiwa anajulikana kutokana na uchekeshaji akitumia lahaja ya lugha ya Kimeru.
Mwanahabari wetu Joab Mwaura, alikutana naye, na kutuandalia makala ya Sauti Tajika wiki hii.

Show More

Related Articles