HabariMilele FmSwahili

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari

Kenya leo  inaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, siku ambayo hutumika kuwahamamisha wakenya jinsi ya kuepuka ugonjwa huu unaowaathiri watu milioni 425 duniani.

Show More

Related Articles