HabariMilele FmSwahili

Kalonzo aanza rasmi kutekeleza jukumu la kufuatilia mchakato wa amani Sudan Kusini

Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka ameanza rasmi kutekeleza jukumu lake la kufuatilia mchakato wa amani nchini Sudan Kusini. Kalonzo amekutana na rais wa Sudan Kusini Salva Kiir mjini Juba kujadili mikakati ya kutekeleza makubaliano ya amani yaliyotiwa saini na rais Salva Kiir na Makamu wake Riek Kachar. Mkutano huu umehudhuriwa pia na waziri wa mambo ya nchi za nje balozi Monica Juma.

Show More

Related Articles