Swahili Videos

 Mume alazimika kupashwa tohara kufuatia lalama za wenzake, Narok 

Kizaazaa kilishuhudiwa mjini Narok baada ya makundi ya vijana waliojawa na hamaki kufanya jaribio la kumfanyia tohara ya lazima mwanaume wa umri wa makamo.
Iliwalazimu maafisa wa usalama kuingilia kati na kumnusuru jamaa huyo .

Show More

Related Articles