HabariMilele FmSwahili

COTU yaunga mkono oparesheni inayoendeshwa kuhakikisha magari yanafuata sheria za Michuki

Muungano wa wafanyikazi COTU umeunga mkono oparesheni inayoendeshwa  kuhakikisha  magari ya uchukuzi yanazingatia sheria za Michuki. Atwoli anasema licha ya wafanyikazi kuathirika pakubwa na mgomo wa  wahudumu wa matatu,lazima kuwe na nidhamu miongoni mwa wahudumu hao. Anasema wahudumu hao pia wanakadiria hasara wakiwa kwenye mgomo na watarejea kazini karibuni.

Show More

Related Articles