HabariMilele FmSwahili

Waziri wa afya azindua usajili wa wenyeji wa Nyeri kupokea huduma ya afya kwa wote

Waziri wa afya Sicily Kariuki amezindua zoezi la usajili wa wenyeji kujiandikisha katika mpango wa huduma kwa wote. Waziri Kariuki amemsajili rasmi gavana Mutahi Kahiga na kuahidi kuwa wakazi wote katika ya Nyeri watasajili kuweza kupata huduma bora za afya. Serikali ya kaunti ya Nyeri imedokeza nia ya kuwasajili wakazi katika makaazi zaidi ya laki 2

Uzinduzi huu unajiri takribani wiki tatu kabla ya rais Uhuru Kenyatta kuzindua rasmi mpango wa majaribio wa kutoa huduma hiyo katika kaunti nne za Nyeri Machakos Kisumu na Isiolo.

Show More

Related Articles

Check Also

Close