K24 TvSwahiliVideos

MGOMO WA MATATU: Muungano watangaza utaanza Jumatatu kupinga sheria mpya

Kizungumkuti kinatarajiwa kutanda katika sekta ya uchukuzi baada ya miungano ya wahudumu wa matatu kuitisha mgomo baridi wa magari yote ya uchukuzi wa umma kuanzia siku ya Jumatatu.

Kulingana na wahudumu hao, hatua ya serikali ya kuanzisha msako maalum barabarani siku hiyo, ndio chanzo cha mgomo wao.

Wanasema mgomo huo utawapa muda kumalizia ukarabati na kutekeleza baadhi ya matakwa ya serikali katika sheria ya uchukuzi.

Show More

Related Articles