HabariMilele FmSwahili

Ripoti : Zaidi ya shilingi bilioni 8 zilizotengewa kaunti ya Nairobi mwaka 2017 hazijulikani zilivyotumika

Imebainika zaidi ya shilingi bilioni 8 zilizotengewa serikali ya kaunti ya Nairobi mwaka 2017 hazijulikani zilivyotumika. Ripoti ya mkaguzi wa serikali Edward Ouko inaonyesha kati ya shilingi bilioni 10,ni bilioni 2 tu ziliwekwa katika akaunti za benki ya serikali ya kaunti. ripoti hiyo inayozidi kutia doa uongozi wa aliyekua gavana Dr.Evans Kidero.

Show More

Related Articles