HabariMilele FmSwahili

Bunge la kaunti ya Machakos lapitisha hoja ya kumuondoa afisini naibu gavana Francis Maliti

Bunge la kaunti ya Machakos limepitisha hoja ya kumuondoa afisini naibu gavana wa kaunti hiyo na aliyepia waziri wa fedha mhandisi Francis Maliti. Bunge hilo linamtuhumu Maliti kwa matumizi mabaya ya afisi na ubadhirifu wa fedha. Kuondolewa afisini kwa Maliti kumechochewa na hoja aliowasilisha bungeni humo mapema leo mwakilishi wadi ya Kangundo Mashariki Cosmas Masesi.

Show More

Related Articles