HabariMilele FmSwahili

Polisi wanasa magunia saba ya bangi yenye dhamani ya shilingi nusu milioni Thika

Polisi mjini Thika wamenasa magunia saba ya bangi yenye dhamani ya shilingi nusi Milioni baada ya kusimamisha gari lililokuwa likisafirisha bangi hiyo mtaani Kiandutu. Akidhubitisha tukio hilo OCPD wa Thika Magharibi Paul Karobia amesema dereva wa gari hilo alitoroka na kuwa polisi wanamsaka. Pia amesema uchunguzi unaendelea kuhusu mmiliki wa gari na ilikokuwa ikielekezwa bangi hiyo.

Show More

Related Articles