HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakaazi Wa Jomvu Wahofia Usalama Wao Baada Ya Daraja Kuporomoka.

Wakaazi wa miritini na Bangla eneo bunge la jomvu SASA wanaitaka serikali ya kaunti ya mombasa kujenga upya daraja la Mkupe linalounganisha vijiji hivyo viwili  ambalo lililoporomoka na kutatiza shughli za   usafiri.

Wakazi eneo hilo wanamesema daraji hilo linalodaiwa kujengwa kwa kima cha zaidi ya shilingi milioni sita limeporomoka huku likiwa halijamaliza hata mwaka mmoja tangu lijengwe upya

Aidha wamevitaka vitengo vya upelelezi kuchunguza mwanakandarasi alietekeleza  ujenzi huo , na kuchukuliwa hatu kali za kisheria iwapo atapatikana na makosa ya utendakazi duni.

 

 

 

 

Show More

Related Articles