Swahili Videos

Mgaagaa na upwa : Mama Jane hushona viandarua vya kukausha mahindi

Ni msimu wa kuvuna mahindi, na pia ni wakati ambapo wakulima kwa sasa wanalia kwa sababu ya malipo duni ya mahindi.
Hata hivyo kutana na  Mama  Jane ambaye kazi yake ni kutengeneza vyandarua, vya kukaushia mahindi kabla ya kuyauza.

Show More

Related Articles