HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Ya Kaunti Ya Mombasa Yafutilia Madai Yakuwepo Mipango Ya Kutatiza Shughli Za Kidini.

Wakuu wa serikali ya kaunti ya mombasa wamewahakikishia wachungaji na viongozi wa dini kwa ujumla, kwamba  kaunti haina mipango yoyote ya kuingilia uhuru wao wa kuabudu.

Hii ni baada ya baadhi ya viongozi wa dini kulalamikia kutozwa ada Fulani bila wao kufahamu sababu maalum.

Katibu wa kaunti Francis Thoya amekiri kupokea lalama hizo, na kuahidi kuwa watafanya mkutano na viongozi hao ili kulitafutia ufumbuzi suala hilo.

Show More

Related Articles