Swahili Videos

Naibu Rais azindua miradi kadhaa ya maendeleo, Migori

Naibu Rais William Ruto amezuru ngome ya kinara wa upinzani Raila Odinga kaunti ya Migori, na kuwataka viongozi wa kisiasa kuweka kando tofauti zao za kisiasa na kuunga mkono maafikiano ya machi tisa kati ya rais Uhuru Kenyatta na odinga.

Usemi huu umewadia siku chache tu baada ya yeye kukutana na rais pamoja na odinga nyumbani kwake Karen, huku taarifa kutoka afisi ya Odinga hii leo ikiashiria kuwa hatajihusisha na siasa za urithi za mwaka 2022 bali anataka kuzamia kazi mpya aliyokabidhiwa kwenye umoja wa bara afrika.

Show More

Related Articles