K24 TvNEWSSwahiliVideos

SIASA ZA URITHI 2022: Mkutano kati ya Uhuru,Ruto na Raila wazua kiwewe

Kukutana kwa kinara wa upinzani Raila Odinga na Naibu wa Rais, William Ruto pamoja na Rais Uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa nyumbani kwa naibu wa rais eneo la Karen kumewaacha wengi na maswali chungu nzima.

Hilo lilifanyika baada ya Rais kuzuru Nyeri na kusema kuwa wengi watastaajabu siku ambayo atamtangaza yule atakayemuunga mkono kwenye debe la mwaka 2022.

Show More

Related Articles