K24 TvNEWSSwahiliVideos

UBINAFSISHAJI WA MASHIRIKA: Mashirika 26 ya serikali kubinafsishwa au kuunganishwa

Tume  ya Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali inanuia kuunganisha baadhi ya mashirika ya kiserikali ili kuhakikisha kuwa yanatekeleza wajibu wao na kuzalisha faida .

Duru kutoka tume hiyo zinaashiria kuwa halmashauri ya bandari nchini  imetolewa kwenye orodha ya mashirika ambayo yangebinafisishwa na kwa sasa ni kampuni tano za sukari ambazo tume hiyo imefanya uamuzi wa kuzibinafsisha.

Show More

Related Articles