English VideosK24 TvNEWSVideos

ARI NA UKAKAMAVU: Iddi Bashir aliyeasi uhalifu na kuchangamkia usanii wa kuchora

Eneo la Kariobangi, jijini Nairobi linahusishwa sana na uhalifu haswa miongoni mwa vijana na kijana Iddi Bashir hakusazwa ila talanta na usanii wa kuchora ulimpa nafasi katika jamii. Bashir pia alipata fursa ya kuenda ughaibuni kufunza na hata kuhudhuria warsha mbalimbali.

Show More

Related Articles