K24 TvNEWSSwahiliVideos

MKAO WA MIBABE WA KISIASA: Ruto awaandalia Rais Kenyatta,Raila mlo nyumbani kwake, Karen

Naibu Rais William Ruto amewaandalia Rais Uhuru Kenyatta, kinara wa NASA Raila Odinga na mfanyibiashara mashuhuri Jimmi Wanjigi chakula cha mchana nyumbani kwake mtaani Karen.

Haya yalijiri dakika chache baada ya kuhudhuria ibada ya wafu ya mwendazake Jane Kiano ambapo Odinga alionekana kutofautiana na semi kuwa ni mmoja wa wanaonufaika na uongozi kutokana na jina la kifamilia.

Show More

Related Articles