K24 TvNEWSSwahiliVideos

HUJAFA, HUJAUMBIKA! : Mama aliye na sindano 8 mwilini mwake asaka usaidizi,Nairobi

Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamo amepatikana na sindano zaidi ya nane mwilini huku madaktari wakitafakari hatua watakayoichukua. Madaktari wanasema sindano hizo zimekwama kwenye kifua na lazima afanyiwe upasuaji maalum, huku mwanamke huyo akidai alitendewa unyama huo na mtu ambaye yumo mafichoni.

Show More

Related Articles