K24 TvNEWSSwahiliVideos

MAUAJI YA MONICA: Mshukiwa wa pili Jennings Orlando Odhiambo aachiliwa na mahakama

Jennings Orlando, afisa wa kikosi cha Rekee na mshukiwa wa pili aliyehusishwa na mauwaji ya Monica Nyawira Kimani ameachiliwa. Hii ni baada ya afisa mkuu wa Upelelezi wa Jinai, Maxwelll Otieno kufikisha mahakamani ombi la kumtaka aachiliwe.

Stella Atambo, hakimu mkuu wa mahakama ya Kiambu, aameagiza Jennings afike ofisi za Upepelezi wa Jinai kila Jumatano kwa miezi mwili ijayo.

Show More

Related Articles