Swahili Videos

Wasiotambulika : Mama Julia Sote anayejibidiisha Baringo licha ya mng’ato wa nyota

Kwenye makala ya Wasiotambulika, tumekuandalia taarifa ya mama mmoja mlemavu kutoka kaunti ya Baringo.

Mama Julia Sote aling’atwa na nyoka mara mbili, na majeraha aliyopata yalimwacha mlemavu.

Mumewe naye amepoteza uwezo wa kuona kutokana na uzee na kumwachia mzigo wa kuwalea watoto sita.

Licha ya masaibu ya ulemavu, mama Julia Sote hupasua mawe kutengeneza kokoto nyumbani kwake, kuilisha familia yake kila siku.

Show More

Related Articles