HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta azindua ujenzi wa uwanja mdogo wa ndege Nyeri

Rais Uhuru Kenyatta amezindua ujenzi wa uwanja mdogo wa ndege wa Nyaribo  kaunti ya Nyeri.Rais ambaye anazuru sehemu hiyo anasema uwanja huo utafanikisha safari za moja kwa moja  za kibiashara  kati ya Nyeri na Nairobi.Hatua hiyo pia imepiga jeki sekta ya uchukuzi sehemu hiyo.Rais pia amekagua ujenzi wa daraja la Kamweiga sehemu hiyo.

Show More

Related Articles