People Daily

Wanafunzi Katika Kaunti Ya Kwale Kunufaika Na Maktaba Ya Kidigitali.

Serikali  ya   kaunti ya Kwale imetenga  shilingi milioni 25  za ujenzi wa maktaba ya kisasa  katika kaunti hiyo ili kusaidia kuboresha viwango vya elimu .

Ramadhani Bungale  ambaye ni katibu wa maendeleo  ya  jamii kwale , amesema uwekezaji wa maktaba hiyo umechochewa na idadi kubwa ya wakazi wanaohitaji huduma hiyo.

Anasema pia wameanzisha mfumo wa vitabu vya kidijitali ili kuwawezesha wananchi kupata taarifa  wanazohitaji kupitia simu zao za rununu

Show More

Related Articles